Gigy Money Aanzisha Penzi Na Mmarekani Adai Wabongo Wanazingua

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Gift Stanford maarufu kama Gigy Money amefunguka na kuweka wazi kuwa yupo katika penzi jipya na kijana wa kimarekani.

Gigy Money ambaye amehusishwa Kimapenzi na wanaume zaidi ya watatu kwa wiki chache zilizopita ikiwemo Msanii wa Bongo fleva kutoka Records Label ya WCB Lavalava.

download latest music    

Siku ya leo Gigy Money amemposti kijana wa Kimarekani na kutangaza kuwa kwenye Mahusiano naye ya Kimapenzi na kuweka wazi kuwa amechoshwa na Mahusiano na vijana wa kibongo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Gigy Money amemposti kijana huyo na kuandika maneno haya:

https://www.instagram.com/p/Bn3BkdZHaRe/?utm_source=ig_share_sheet&igshid=bujj5n8qw5xq

About this writer:

Diana

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.