Gigy Money Afunguka , Asingezaa , Angeshiriki Mashindani ya U-Miss.

Mwanadada Gigy Money amefunguka na kusema kuwa endapo angekuwa bado hajaza mpaka sasa na kwa mwili ambao anao kwa sasa lazima angeshinda na kuchukua tajila miss dar es salaam.

Gigy Money ambae  amekuwa haishii na kiki na drama kila siku anasema kuwa  kwa upande wake hana aibu hata kidogo kwaio anaweze akutembea mbele za watu, alkini pia umri wake una ruhusu miaka 21 na pia mwili wake una ruhusu kabisa kushiriki mashindano hayo.

download latest music    

Yaan kama ningekuwa sijazaa na huu mwli nimeupata  ningechukua hilo taji la miss dar arena vizuri tu, kwani mimi nina iabu , haka mimi mkavu lakini pia na mwili si ninao. tatizo umri kwani si niana miaka 21, bado mdogo na nina haki sema tu ni kwamba mimi nina mtoto  na miss hawezi kuwa na mtoto.

Gigy money ana mtoto mmoja wa kike aliyezaa na mtangazaji wa radio moja jijini anaejulikana kama Mojay.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.