Gigy Money Apewa Onyo la Mwsiho , Awekwa Katika Danger Zone.

Serikali kupitia wizara yake ya mambo ya sanaa na wasanii kupitia naibu Waziri Juliana Shonza ametoa onyo la mwisho kwa mwanadada Gigy Money kutokana na tabia yake ya  kutumia mtandao vibaya huku akisambaza sana picha za utupu na maneno machafu katika mtandao.

Mh Juliana anasema kuwa serikali yake haitakubali kufumbia macho mambo kama hayo kwa sababu ndio yanayofanya kupotea kwa maadili kabisa tena  ukizingatia kuwa wasanii ni watu wanaongaliwa sana kwa sasa na watu mbalimbali.

download latest music    

Huyu Gigy money naona kabisa kuwa bado hajaacha michezo yake michafu katika mitandao ya kijamii,safari hii sidhani kama atapona katika sakata la kukamata .lakini kupona kwake ni pale atakapoamua kubadilika na kuachana na iyo tabia  kabisa.

Mh Juliana Shonza amewahasa wake watoto na vijana ambao wamekuwa wakitumia wasanii kama sehemu ya kuiga na kupatia mafunzo yao kuwa kwa sasa serikali  inaamua kufuatalia taarifa na tabia ambazo zinawaonyesha wasanii wapo kinyume na maadili natarabitu  zao hivyo wasanii kuwa  makini katika kuangalia jinsi  tamaduni zinazoweza kuendelezwa,

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.