Gigy Money Apingana Vikali na Linah Kuhusu Uzazi.

Mwanadada Gigy money amepingana vikali na mwanadada Linah Sanga anaetaba kwa sasa na wimbo wake wa koleza ambae  hapo awali alisema kuwa msanii wa kike unapotaka kuzaa ni lazima kujipanga kabla ya kuzaa, huku kwa Gigy money anasema kuwa ukitaka kuzaa zaa tu kwa sababu maisha ya sasa hayana formula.

kwenye maisha yangu sijutii kuzaa mapema na wala siwawahi kuona kama nimekosea kuzaa mapema.kuzaa sio lazima mtu uanze kujipanga unaweza kuzaa tu kwa sababu maisha ya sasa hivi formula, maisha ya sasa ukiwaza kufanya kitu flani fanya tu wala usiwaze kama ukifanya hivi utakosea.

Gigy money na Linah wote ni wasanii ambao kwa sasa wako katika malezi ingawa pia wanaendelea kufanya kazi zao, kwa gigy money swala la kuza kwake halikuwa tatizo na alishaamua kuingia katika kurasa wa kuwa mama na amekuwa moja ya watu wanaojivunia sana kupata mtoto katika umri wake.

download latest music    

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.