Gigy Money: Mimba zangu mbili zilitoka

Gift Stanford maarufu kama Gigy Money ni miongoni mwa warembo ambao wanajulikana kuuza sura (Video vixen) kwenye video za wanamuziki Tanzania.

Makalio ya Gigy Money imechangia mrembo huyo kuwa na soko kubwa nchini, wasanii wengi hupenda kuonyesha wanadada ambao wako na bonge la tako kwa video zao.

download latest music    

Mrembo huyo alifunguka kuhusu ujauzito alizopoteza akiongea na Motomoto News. Gigy alisema mimba zake zilitoka kwasababu ya vipigo vya mwanaume aliyekuwa naye wakati huo.

“Roho inaniuma sipendi kuongea haya, lakini ni kweli nilinasa ujauzito mara mbili mfululizo, kutokana na vipigo vya mwanaume niliyekuwa naye…mimba zikawa zinatoka, ya mwisho hadi kizazi kilitoka nje nikaumwa sana hadi nilijua nakufa nikalazwa hospitali siku mbili,” alisema msanii huyo.

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere