Haiwezekani Mama wa Mtoto Kujiamulia Wapi pa Kuzika Wakati Baba wa Mtoto Yupo:-Mama Wema

Bado mambo ni kizungumkuti kutokana na kutangaza kwa Muna kuwa mtoto wake atazikwa nyumbani kwake mbezi ilihali watu wa karibu waliokuwa wakimjua muna wanakwenda nyumbani kwa inaesemekana ni baba wa mtoto ambae sio Casto Dickson kama inavyojulikana katika mitandao ya kijamii.

kumegawanyika kwa waombelezaji wengine wakienda mwananyamala kwa peter ambapo ndie mume halali wa muna na aliyemlea muna na mtoto na huku wengine wakienda nyumbani kwa muna kabisa kwa ajili ya maombelezo.

download latest music    

Mama mzazi wa Wema Sepetu na wema sepetu walifika katika maombelezo nyumbani kwa peter mwananyamala , alkini walipoulizwa sababu kubwa ya kuamua kwenda hapo na sio kwingine Mama Wema alisema muna hana mamlaka ya kuamua kwa sababu baba wa mtoto yupo na ushaidi wa kuwa yule ni baba wa mtoto upo pia.

huwezi kama mama mtoto wa kike ukajiamulia mtoto hazikwe wapi wakati baba wa mtoto yupo, na unajua kuwa ulifuata njia zote za wao kuwa pamoja.sisi tunakwenda sehemu ambayo familia ya muna ilipo na pia tunaheshimu sana familai ya muna kwa sababu hapa ndipo walipo familia ya upande wa muna.sisi tunaenda na kumheshimu yule mama wa muna ambae alipokea mahali ya muna.hayo mengine ya mitandao hatuyajui kwakweli tupo hapoa kwa busara zetu na kwa taarifa ambazo zipo baba wa muna alifariki katika hii nyumba (nyumbani kwa peter)

Hata hivyo muna ametoa utata na kusema kuwa mtoto patrick sio wa Peter bali ni wa Xasto na kuna mengi mazito jamii haiyajua lakini anaomba amalize msiba ndipo atawekawazi kia kitu.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.