Hamisa Akataa Kumuongelea Lynn kwa Lolote.

Mwanadada Hamisa Mobeto alipokuwa katika  birthdau party yake alifuatwa na waandishi wa hhabari na kuulizwa maswli mawili matatu kuhusu siku yake hiyo, lakini moja ya maswalia liyoulizwa ilikuwa ni kuhusu kuhusikia wimbo mpya ya lyn ambao umetoka hivi karibuni.

Mwanadada huyi bia  kusita alikataa kujibu kuhusu swali hilo huku kioa anachoulizwa anjibu NO COMMENTS, kitu ambacho sio cha kawaida.

download latest music    

Wawili hao wanaonekana kuwa katika bifu la chnichini ingawa Lyn aliwahi kutamka kuwa hajawahi kuonana na  hamisa hata mara moja zaidi ya kumsikia katika mitandao  ya kijamii.

Lyn na hamisa wanatajwa kuwa katika bifu hasa baada ya wadada hao wote kusemwa kuwa waliwahi kuwa na mahusiano na msanii Diamond platinumz ambapo kwa hamisa ni baba wa mtoto wake.

Hata hivyo lynn alisema kuwa katika kazi zake mpya za muziki zinazoanza anatamani kufanya kolabo na Hamisa.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.