Harmonize Agoma Kuoa hivi Karibuni, Ataka Kujirusha Kwanza.

Msanii wa lebo kwa nchini Harmonize amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye na mpenzi wake sarah wanahitaji kujirusha sana kbala ya kufikia maamuzi ya kutoa kufunga ndoa .

Harmonize amefunguka hayo alipokuwa akiongea na WCB tv  baada ya kuulizwa kuwa amekuwa akionekana na mwanadada huyo ambae ni mpzenzi wake kwa siku nyingi na hata mwanadada huyo kuzushiwa kuwa tayari n mjamzito.

download latest music    

Harmonize anasema kuwa maisha ya ndoa yapo lakini so kwa sasa mapka 2025, lakini sio sasa hivi hivyo kwa sasa wanashughulika na kula stareh kwanza.

Hata hivyo msanii huyo anasema kuwa muda wa ndoa utakapofika watafunga noda tena wanahitaji kuwa na watoto wawili.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.