Harmonize Akana Mahusiano ya Kimapenzi na Wolper.

Msanii wa muziki kutoka katika kundi la WCB  Harmonize amefunguka na kukana tetesi za kuwa yeye na mwanadada Jackline Wolper kuwa wako katika mahusiano ya kiampenzi kama inavyovuma kwa sasa katika mitandao ya kijamii.

Harmonize anasema kuwa kitendo cha kumpandisha jukwaani haimaanishi kuwa wao ni wapenzi bali wamekuwa marafiki na kuacha tofauti zao kando kuanzia walipoamua kufanya hivyo.

download latest music    

nikimtaja wolper au kumpandisha jukwaani maanake ni malkia wangu

Wawili hao waliwahi kuwa na mahusiano ya uda mrefu na hata kutangaza ndoa lakini baadae walikuja kuachana kwa kutukananana sana katka mitandao ya kijamii wakati huo kila mmoja alikuwa tayari na mahusiano na mtu mwingine,

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.