Harmonize Aonyesha Msikiti Unaojengwa na Diamond Huko Mtwara.

msanii wa muziki kutoka katika kundi la WCB harmonize ameonyesha mjengo wa msikiti  uliopo katika ujenzi uliopo mkoani mtawara ambapo msikiti huo unajengwa na  diamond platinumz huku ukisimamiwa na harmonize ambae ndio nyumbani kwao.

katika ukurasa wake wa instagram, harmonize ameweka  video hiyo inayoonyesha mjengo huo na kuandika ‘sio jambo rahisi sana kwa watu wenye mafanikio hapa duniani kumkumbuka mwenyezi Mungu , kwa kujiwekea amali kwa ALLAH, mwenyezi mungu akujalie na kukubaliki kila kunapokucha.hii inanifanya niamini kuwa ndio maana kila kunapokucha unazidi kufanikiwa, kutokana na dua njema za watu.pamoja na hayo waislamu tayari walishaanza kusali katika msikiti unaojengwa hapa mtwara,haukutoa kwa sababu una kingi lakini ulitoa kwa kutambua kuwa kuna watu wana huitaji wa kumfikia ALLAH …mwenyezi mungu ndio mwenye kukulipa Naseeb Juma Abdul. “

download latest music    

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.