Harmonize Atoa Sababu ya Kutompa Mkono Alikiba.

Harmonize ameamua kufunguka ni sababu gani ilimfanya ashindwe kusalimiana na alikba kwa kupeana mikono siku walipokuata pale Leaders Club walipokutana kwa ajili ya kuuga mwili wa marehemu Agnes Masogange ambae msiba wake uliwagusa watu wnegi sana.

Akiongea na bongo 5 harmonize anasema kuwa alipoona kuwa Alikiba amesalimiana na diamond kwa kumgeuzia mkona hakuona haja ya kuendelea na yeye kumsalimia kwa kumpa mkono zaidi ya kumsaliamia kwa sauti tu kwa sababu hakuona mantiki ya salamu hiyo.

download latest music    

Unajua watu wengi sana wanaongea kwa sababu hawakuwa pale, ukimzungumzia alikiba unamzungumza msanii ambae aliupa muziki wetu heshima kubwa sana,kama msanii namheshimu sana siwezi kukutana na mtu alafu nikaacha kumsaliamia hata kidogo.

kilichofanyika ni kwamba diamond kaja kamsaliamia kwa mkono, mimi nikazunguka na kumuona kasalimiana na diamond kwa mikono kamgeuzia kiganja sasa mimi nikaona nimsalimie kwa sauti tu na tukaendelea.

Ikumbukwe kuwa siku za nyuma zilizopita Harmonize alishawahi kusema kuwa hatamani kufanya kolabo na Alikiba.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.