Hatimaye Alikiba Amuozesha Dada Yake.

Msanii wa muziki Alikiba leo alfajiri amefanikisha jambo la kumkabidhi mdogo wake wa kike zabibu kiba kwa mume wake abdi banda katika msikitiki wa  sanene tabat jijini Dar Es Salaam.

Wiki hii yote iliyopita kulikuwa na shamra shamra nyingi sana upande wa familia ya zabibu kwa ajili ya kujiandaa na ndoa hiyo na hatimaye sasa imekamilika.

download latest music    

Zabibu kiba ameolewa na mchezaji wa timu ta taifa ya Tanzania Abdi Banda na siku ya leo wameandika historia baada ya kuhizinishwa kukaa pamoja kama mke na mume.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.