Heri Muziki Atangaza Menejimenti Yake Mpya.

Mwanamuziki wa Rn’B nchini Heri Muziki ametangaza kuwa na uongozi mpya unaosimamaia kazi zake kwa sasa baada ya kukaa muda mrefu bila kuwa na uongozi unaoeleweka atangu ameanza muziki.Heri muziki ametangaza hayo alipoweka picha zake katika ukurasa  wake wa instagram na kusema kuwa kwa sasa amepata uongzoi mpya baaada ya kukaa muda mrefu bila kuwa na uongozi.

Heri muziki ambae amekuwa akifanya kazi za kutoa cover za nyimbo nyingi za wasanii wa ndani na nje ikiwepo ile ya na gode ya yemi alade na nyimbo zake kama Cheche, Sweet love na Waambie ataanza kusimamiwa na lebo ya PANA MUSIC kwa sasa.

download latest music    

Heri alishawahi kufanya azi chini  ya KT menejement lakini pai aliwahi kufanya kazi akiwa na aliyekuwa mpenzi wake Diva the Bawse.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.