Huu ndio muonekano mpya wa Shilole baada ya kupata mchumba?

Image: shilole

Shilole anaejulikana kama bad girl shishi amewaekea mashabiki wake picha mpya ambayo imetuacha tukijiuliza kama huu ndio muonekane wake mpya.

Kwenye picha hiyo, Shilole anaonekana kufanana na alikuwa muigizaji wa zamani wa Amerika Marilyn Monroe. Ingawa picha hiyo ilifanyiwa ukarabati kabla ya msanii kuiweka kwenye ukurasa wake wa Instagram na mashabiki wake wametii kuwa Shilole anaonekana mrembo kwenye picha hiyo.

download latest music    

Baada ya kuiweka picha hiyo Shilole aliandika kusema #stargirl? kudhibitisha kuwa pia yeye alikuwa amefurahishwa na picha hiyo.

Ikiwa haujaitazama bado, basi angalia hapa chini.

Shilole
Shilole

About this writer:

Pauline Syombua

Content Developer IG: Kermbua