Isabela Nae Apewa Nyumba na Baba Mtoto Wake.

Huku stori za wanawake wa bongo kupewa nyumba zikiwa zinaendelea wengi wakimtolea mfano mwana dada Hamisa Mobeto, msanii mwingine kutoka bongo movies Isabela nae inasemekana kupewa nyumba na  nzima aliyokabithiwa na baba wa mtoto wake.

Habari za kunyapia zinasema kuwa mwanadada huyo aliyehamishwa kutoka katika nyumba aliyokuwa akiishi na kuhamia kwenye nyumba kubwa ya kifahari hivi karibuni huku ikitajwa kuwa aliyemnunulia nyumba hiyo ni baba wa mtoto wake ambae ni kigogo mmoja kutoka benki moja jijini Dar.

download latest music    

Baada ya kupatikana kwa taarifa hizo waandishi wa habari waliamua kumtafuta isabela mwenyewe ili kuthibitisha hilo na ndipo alithibisha hilo kwa kusema”hapa ndipo ninapoishi baada ya baba wa mtoto wangu wa sasa kunipangishai hapa,siku zote huwa sizai na mwanaume ilmraid ila huwa nazaa na mwanume mwenye faida.’

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.