Jina la Mapacha Watatu Lazua Balaa.

Kuna habari zinasambaa mjini kuwa msanii wa dansi Khalid Chokoraa amamua kutengeneza bendi yenye jina la mapacha watatu jina ambalo pia limekuwa likitumiwa na jose mara katika bendi yake pia.

kupitia eNews, khalid chokoraa anasema kuwa yeye ana bendi yake inaitwa mapacha watatu na imekuwa ikundwa na wasanii wengine wakubwa kama ferguson na jukumu la kiuta hivyo bendi yake ni kutokana na kwamba tangu hapo awali yeye ndio alikuwa wa kwanza kuwa na wazo la kaunzisha band na kutaka kuiita hivyo .

download latest music    

khalid anasema kuwa kwa mara ya wanza yeye ndio alitoa jina la mapacha watatu hivyo anaamini kuwa yeye ndio mmiliki wa jina hilo.

Lakini pia khalid anasema kuwa  waliwahi kwenda BASATA kufatilia swala hilo na kuambiwa kuwa kama wote walikuwa wasanii wa kundi hilo kabla halijavunjika basi kila mtu na ana mamlaka ya kulitumia jina hilo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.