Jua jinsi ya Kuongea na Mwenzi Aliyekasirika.

katika maisha ya mapenzi kuna vitu vinaweza visiwe sawa muda mwingine, sio kila siku katika maisha yenu mtakuwa ni watu wenye furaha na kufurahia mahusiano yenu , na ndo maana hata katika watu waliodumu muda mrefu unapowauliza kuhusu changamoo watakwambia kuwa walishawahi kugomabansana na kufikia hatua hata ya kupeleka ugomvi kwa watu wao wa karibu.

Mnapokuwa na mhausiano, kla mtu anakuwa na taba yake na hii inawafanya kukutana na swala zuri la kufanya ni kila mmoja kujua tabia ya mwenzie na kujua kuwa mwenzangu anapokuwa na hisia hizi mimi natakiwa kufanya hivi.

download latest music    

Kwa mfano inapotokea mmegombana na mmoja wenu akwa na hasira sana, wala haina haja ya kuendelea kurumbana bali wewe mjali mpenzi wako na kisha jaribu kutafuta njia ya kuongea nae ili kyaftua hasira yake.

MPUNGUZE HASIRA ZAKE.

Kuna mtu anaweza kuwa na hasira sana hasa pale anapona na wewe unazidi kuongelea swala hilo ambapo limeleta marumbano, cha kufanya wala sio kuendelea kujibizana nae lakini jitahidi kuongea taratibu ili kumshusha hasira zake ambazo zinaweza labda kumpelekea kufanya kitu kibaya zaid.mtu huyu huna haja ya kujibizana nae.

JUA SAIKOLOJIA YAKE

Mkiwa wapenzi , inafika sehemu unakuwa unajua kuwa mpenzi wangu anapokasirika anakuwa wa aina gani, jaribu kwenda nae sambamba, angalia maneno anayotamka na msome yeye anawaza nini kuhusu marumbano yenu, inawezekana alichofanya kwake anaona sahihi, au anaona kama anaonewa vile jaribu kumsoma ili muende sawa.

MRUHUSU AONGEE.

Moja ya mambo yanayoweza kupunguza hasira siku zote ni kumuacha mtu mweny hasira kuongea kile anachojisiakia kuongea ili kutuliza hasira zake, acha aongee na wala huna haja ya kubishana nae kwa muda mrefu zaidi sana msikirize akimaliza kuongea na wew utakuwa umepata neno la kuongea nae kutokana na yake aliyoongea kutoa hasira zake.

MUOMBE MSAMAHA

Ili linaweza kuwa jambo la maana na linaweza kumaliza ugomvi kabisa, ingawa pia kuwa wanaotaka kuombwa msamaha hata kama wamefanya wao makosa, jitahidi sana kuomba msamaha  kamaunaona kuwa kosa lililompa hasira limesababishwa na wewe.Usiwe mtu wa kupenda kuwa kutaka kushinda kwa kila kitu.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.