Juma Nature na Chege Mambo Safi, Wamaliza Bifu Lao

Wiasanii wakongwe wawli waliowahi kufanya kazi katika kundi moja ya TMK Famili enzi( juma nature ana Chege) hizo wamemaliza bifu lao baada ya ugomvi huo kudumu kwa muda mrefu sana na kushndwa kufanya kazi pamoja.

Akithibitisha kuwa hakuna tofauti kati yao , Juma nature alipokuwa katika mahojiano na clouds tv wiki hii alionekana kusea amneno yanayoashiri akuwa hakuna ugomvi kati yao na wala sio kamwa mwanzo ilivyowahi kuwa.

download latest music    

Alipoulizwa  maoni yake kuhusu muziki wa Chege, Juma nature bila iana alijibu na kusema kuwa hawezi kuukata muziki wa Chege kwa sababu hauchuji .

mimi naona kuwa chege nyimbo zake zote nzuri tu, mimi chege ninamjua tangu tumetoka temeke, na ninavyojua mimi kundi l atemeka halina msanii ndezi hata mmoja na siwezi kusema ni nyimbo gani lakini mimi huwa naona tu kwamba kwa chege nyimbo zote nzuri tu kwaio siwezi kusimama nikasema napenda nyimbo flani ya chege, zote nzuri,

Maneno ya Chege yanaonesha kuwa hakuna tofauti kati yao kwa sababu hapo awali ilikuwa ngumu kuwakuwa wasanii hawa wawili wakiongeleana tena kwa mazuri.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.