Kanye West na Kim Wakutana na Rais wa Uganda.

Msanii mkubwa nchi marekani ametua Afrika na kufikia katika nchi ya Mh Rais Museven  wiki hii ambapo wameweza kuonana na kuongea mambo mbalimbali yanayowahusu.

Msanii Kanye West aliwea aahadi yake kuwa katika album yake mpya inayokuja anataka kukamilisha ndoto yae ya kutembelea afrika katika moja ya nchi za huko ikiwa kama kama sehemu ya album hiyo.

download latest music    

Kanye na Kim walionekana wenye furaha baada ya kukutana na rais wa nch hiyo pamoja na mtoto wa kike wa rais huyo.

Kanye west akimkabidhi Rais Museven kiatu aina ya Yeezy.

Kanye na mkewe walipopokelewa Ikulu ya nchini Uganda.

 

Rais Museven akiwa na mtoto wake wakati wa kupokea wageni.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.