Kinachokwamisha Hukumu Isitoke ni Familia ya Masogange;-Rammy Galis

Msanii wa bongo movie Rammy Galis amefunguka na kuweka wazi kuwa kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya familia za marehemu Masogange kuhusu kutolewa kwa filamu hiyo ambayo tangu imeandaliwa ipo tayari lakini inashindwa kutoka kutokana na kuwa familia imekuwa ikizozana kuhusu asilimia zilizotengwa kwa ajili yao.

Rammy anasema kuwa mara ya kwanza familia ilikuwa ikilalamika kwa nini hawakuwahi kuwa na taarifa kuhusu yeye kufanya kazi na masogange swala ambalo baadae lilisha lakini ukizani unakuwa kuwa kuna asilimia rammy aliamua kuziweka kwa ajili ya kusaidia familia ya marehemu na wao wapate kunufaika na kile alichokifanya ndugu yao na hapo ndipo unapokuja ugumu kwa kuwa waliweka kikaa na waliahidi kumrudishia  mrejesho mapema lakini wamekaa kimya.

download latest music    

Filamu ya hukumu imeisha kinachofana filamu hiyo isitoke ni mvutano mkubwa uliopo ndani ya familia kuhusu filamu hiyo.nilikaa nao waliniita na baadae tukaongea na kukubaliana kuwa watakaa kama familia kisha wataniletea majibu lakini nimeona kimya.

Lakini pia Rammy anasema kuwa mvutano mwingine unakuja pale ambapo mwanaume aliyezaa na marehemu anaposema kuwa asilimia hizo zilipaswa kwenda kwa mtoto na wala sio kwa familia ya marehemu kama wanavyotaka wao.

pia nilipata calls kutoka kwa baba wa mtoto akinieleza kuwa haki ni za mtoto wa marehemu na wala sio ndugu zake au familia au kaka aua dada wa marehemu.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.