Kisa Esha Buheti , Mashabiki Wamtolea Povu Alikiba Na Familia Yake.

Katika hali isiyokuwa ya kutegemewa mashabiki walianza kumtolea maneno Alikiba pamoja na familia yake kutokana na kitendo chao cha kutom-wish happy birthday mtoto wa esha buheti ambae ni kama mwanafamilia kwao.

Katika kipindi chote cha harusi za ndugu hao mwanadada huyo alikuwa karibu na familia hiyo kuhakikisha kuwa  sherehe hizo zote zinaenda kama inavyotakiwa lakini kitu cha kusikitisha masabiki ni kwamba wikiend iliyopita kulikuwa na kumbukumbu ya kuzaliwa ya mtoto wa esha buheti lakini hakuna mwanafamilia aliyekumbuka swala hilo.

download latest music    

Hata hivyo, moja ya mashabiki alipoanzisha swala hilo na wengine walikuja juu na kuanza kuwasgambulia familia hiyo huku wakisema kuwa familia hiyo imekuwa ikiringa sana.

habari yako mate, mimi nilikuwa nauliza tu , hivi jana si ilikuwa birthday ya mtoto wa da esha, mbona hawa wakina alikiba (zabibu, ali, abdul , rehema ) hawajamuish . yaan yeye kawasapoti kote lakini wao hata hawana habari nae– Moja ya swali la shabiki katika ukurasa maarufu wa habari za wasanii.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.