Kisa Wema , Wolper Amwita Esha Mnafiki

Baada ya kuvuja kwa picha chafu katika mitandao ya kijamii na kusababisha  mambo kuwa mengi na hata siri nyingi kuvuja baina ya wasanii waliowaji kuwa marafiki Wema na Irene, mwanadada Esha Buheti aliamua kumuandikia wema barua ya wazi kuhusu matendo yake huku akisema kuwa yeye ni moja ya mashabiki zake na amekuwa akiumia sana kila anapoona kuna jambo baya juu yake.

hata hivyo baada ya kuandika ujumbe huo mwanadada Jackilene Wolper alimtolea povu Esha na kumwambia kuwa pamoja na kwamba ameumia lakini alitakiwa amfuate Wema private na sio kuongea mambo hayo hadharani.

download latest music    

 Wolper alisema ‘baby esha anaeumia na wema anaumia inbobo na watu wake na aanakosa hata ya kuandika insta lakini paka umepata nguvu ya kuandika insta humu mmmmh yaangalie vizuri maumivu yako yana chembechembe za virusi za unafiki, am soleee.

Baada ya kuandika hivyo katika uwanja wa maoni katika ukurasa wa esha buheti, esha ane aliamua kumjibu kwa kumwambiakuwa kama wema amekuwa akifanya mambo hayo bila siri haina haja ya kumshauri kwa siri .

yeye anapost inbox? nakuheshimu sana na sijawahi kukuvunjia heshima so plz na umeona kuna lolote bayaanimeongea , nakuomba sana sana jackie, niache nakuheshimu sana sanaa.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.