Kiungo wa Tottenham Hotspur Christian Eriksen aingia Tanzania baada ya David Beckham kuondoka (Picha)

Tanzania inaendelea kupokea wageni maarufu duniani ambao wanakuja kuzuru mbuga za wanyama. Kiungo wa Tottenham Hotspur Christian Eriksen sasa ameingia nchini.

Mwaka huu pekee, mwigizaji maarufu wa Hollywood Will Smith pamoja na familia yake, mlinda lango wa klabu ya Liverpool Mamadou Sakho na familia yake na David Beckham – staa wa zamani wa Manchester United, Real Madrid na England na familia yake walizuru Tanzania kwa ajili ya mapumziko.

download latest music    

Soma pia: Picha 10 za Will Smith, David Beckham na mlinzi wa Liverpool Mamadou Sakho wakiwa Tanzania kwa ajili ya mapumziko

Kiungo wa Tottenham Hotspur Christian Eriksen yuko nchini kuzuru mbuga la wanyama la Serengeti. Aliweka picha kwa Instagram akiwa kwa gari akizuru mbuga la Wanyama.

“Oh Hello there ??” Christian Eriksen akaandika instagram

Christian Eriksen

 

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere