Kwa Mara ya Kwanza Hamisa Afanya Show yake Jijini Dar.

Mwanadada hamisa mobeto kwa mara ya kwanza amefanya show yake  jijini Dar tangu amekuwa msanii  wa kuimba katika Industry ya sanaa.

Mwanadada huyo ambae ana miezi kama minne tangu ameanza kuimba aliweza kufanya shoe na kuperform nyimbo zake mbili za tunaenda na madam hilo katika usiku wa masauti pale Legency Park hotel.

download latest music    

Hamisa aliweza kuungana na wasanii wengine wengi wakubwa na wenye uzoefi tayari katika muziki ili kuwaburudihs mashabiki akiwepo Lady jay dee, Ruby na hata Aslay pia ambapo kwa msanii mchanga kama yeye kuna vitu anajifunza kupitia wao.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.