Laizer Athibitisha Lugha Haimpi Shida Kuwasiliana.

Mtayarishaji wa muziki toka WCB, amefunguka na kusema kuwa hapati ugumu wowote kuwasilianana na wasanii wa WCB kwa sasa kwa sababu amejifunza na kujua kile wanachokongea tofauti na hapo awali ambapo ilikuwa ni vigumu kwake.

Laiza amesema hayo akipiga stori na Bongo5 hivi karibuni ambapo ameeleza kila msanii anaenda naye sawa.

download latest music    

Kwa sasa hivi sipati ugumu wowote labda kwa kipindi ambacho hatujazoeana ugumu ulikuwepo lakini kwa sasa hivi wote tunaelewana lugha, kwa hiyo hakuna ugumu,” amesema.

Hivi karibuni Laiza alifunguka kabla ya kuanza kufanya kazi Wasafi Records alishafanya kazi na wasanii kama Ice Prince kutoka Nigeria, Ommy Dimpoz, Alikiba na Marehemu Sharo Milionea.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.