Lema Amtaka Naibu Spika Ashughulikiwe Kisa Mwanza Ya Diamond

Kuna video iekuwa ikisambaaa katika mitandao ya kijamii kimuonyesha naibu spika tylia akso akiwa anaimba wimbo wa mwanza wa rayvanny na diamond huku wimbo huo ukiwa kati  ya nyimbo ambazo zilikatazwa na BASATA.

Wimbo huo ulikatawa kabisa kupigwa eneo lolote ulionekana kuimbwa na wabunge hgao walikuwa nchini burundi baada ya kuibuka kidedea walipokuwa wakishindana katiika michuano nchini humo.

download latest music    

Lema anasema kuwa wimbo huo ambao ulitangazwa kuwa ni kinyume cha maadili haukupaswa kuimba hata na watu ambao ni viongozi hivyo alimtaka spika kuchukiliwa hatua za kinidhamu na wenzake wote kwa sababu ya kukiuka sheria na taratibu za nchi.

Lema anasema kuwa yeye baada ya kuona wimbo huo alisikitika sana na hata mke wake alisikitika sana.

Ikumbukwe kuwa wimbo huo haukuchukua siku nyingi katika mitandao ya kijamii na you tube kwa upande wa tanzania kwa sababu baada ya kutoka ulikuja kuonekana kuwa hauna maadili ya kijamii.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.