Lulu diva :-Nimemchagua Rich kwa sababu ni Mwanaume Aliyekamilika.

Mwanadada Lulu Diva amefunguka na kutoa sabau kubwa ya yeye kuwa karibu na kuwa na mhausino na Rich Mavoko kama ilivyokuwa ikisemwa tangu hapo awali lakini walikuwa wakikana swala hilo.

Akiongea na waandishi wa habari Lulu diva aafunguka na kusema kuwa kwa sababu Rich Mavoko ni tofauti na wanaume wengine na ndio maana yuko nae.

download latest music    

‘nimemchagua Rich kwa sababu ni mwanaume aliyekamilika lakini pia  hii ndio sababu inayotufanya tunapendana “

Itakumbukwa kuwa kwa  muda mrefu wasanii hao wawili walikuwa katika mahusiano na walikuwa wakihisiwa kuwa katika ukaribu huo lakini wamekuwa wakikanusha taarifa hizo.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.