Majibu Kuhusu Uchunguzi Kifo cha Masogange.

Ilizuka tafrani siku ya kifo cha marehemu Agness Masogange baada ya mwili huo kufika katika hospitali ya muhimbili na kisha kutakiwa kufanyiwa uchunguzi na polisi huku watu wakihoji kuwa kwanini mwili huo ufanyiwe uchunguziilihali madaktari wa hospitali alipokuwa amefia walisema kuwa alikufa kifo cha kawaida kama wagonjwa wengine.

Baada ya kutafuta kwa muda mrefu baadhi ya waandishi wa habari hasa GPL ,waliamua kwenda na kutafuta ukweli juu ya tukio hilo ambapo walifanikiwa kumpata moja ya makamanda wa polisi na ndipo walipomuuliza kuhusu hayo.

download latest music    

Akijibu swali hilo, kamanda wa polisi alisikika akisema kuwa anachoshangaa ni kwanini watu walizua tafrani kuhusu kuchunguzwa kwa mwili wa agness masogang ilhali uchunguzi unaweza kufanywa  kwa mtu yeyote yule alifariki hata waliopata ajali ya boda boda.

Swali linakuja kwanini Masogange?

Hiyo ni kazi ya polisi siku zote , mwili wowote unatakiwa kufanyiwa uchunguzi lakini shid wa waandishi huwa  macho yenu ni kwa mastaa tu, lakini hata kama tunajua chanzo cha kifo polisi ufanya uchunguzi.Tunachunguza hata ajali za ikipiki , hiyo ni kazi ya kawaida ya polisi.-Alijibu kamanda wa polisi.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.