Mama Diamond Apata Kigugumizi Mavazi ya Tanasha

Siku kadhaa ziliozopita, mama wa msanii Diamond Platinmz alifunguka na kusema kuwa kwa tansaha mwanae Diamond Platinumz ndio amefika na wala hawezi kupangua na kwamba wawili hao watafunga ndoa kwa sababu hata yeye ameridhika na swala hilo.

Hata hivyo mwanadada huyo ambae kwa sasa ameonekana kupendwa na familia nzima ,alitangazwa na diamond mwenyewe kuwa mwaka 2019 ndio mwaka wake ambao atamuoa binti huyo wa sababu amechoka kuzunguka kwa kila mwana ke na kwamba alishafanya starehe zote sasa ni muda wa kupumzika.

download latest music    

Akiulizwa na waandishi wa habari kuhusu mavazi ya mwanadada tanasha akiwa kama mama mkwe lakini kama mama wa kiislamu anaetakiwa kuwalea watoto katika maadili ya kidini, mama huyo alipata kigugumizi kuzungumzia swala hilo la mavazi ya mkwe wake na kusema kuwa  aachwe apumua na  maswali.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.