Mama Hamisa, Hamisa na Mange Kimambi watibuana.

Mwanadada anaesifika kwa kuvuruga na kuyapanga katika mitanda ya kijamii Mange kimambi ameyakoroga tena katika moja ya familia pendwa katika  mitandao ya kijamii baada ya watu hao kumuendea kinyume mwanadada huo.

Mange ambae alikuwa siku zote upande wa hamisa alikuja kukwazika sana alipomshauri hamisa kuweka ambo yake kuwa private lakini mama wa mwanadada huyo alijibu na kusema kuwa mtoto wake aachwe afanye vile anavyotaka kufanya kitu ambacho kilimkwaza Mange na kuamua kumparamia na maneno mama huyo.

download latest music    

Hata hivyo amneno ya mange kwa mama huyo yanaoekana kutokuwa sawa kama Team Hamisa wanavyosema hivyo, tema misa kuanza kumshambulia Mange kimambi na kuanza kum-unfollow.

Hata hivyo baada ya hayo yote pia hamisa na mama yake waliamua kum-unfollow Mange Kimambi na kupelekea mange kuomba msamaha kwa team misa na kwa hamisa na mama yake pia.

Hata hivyo pamoja na kuomba msamaha , Mange kimambi  anasisitiza kuwa mama Hamisa bado alifanya kosa kumwambia mtoto wake kuwa huru na  kupost kila kitu katika mitandao ya kijamii.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.