Mamake Zari atolewa hospitalini baada ya kulazwa kutokana na ugonjwa wa moyo

Mamake Zari Hassan alilazwa hospitalini Ijumaa wiki iliyopita baada kutokana na shida ya moyo; hii ilikua siku chache baada ya kuwasili Afrika Kusini.

Dadake Zari- Ashutalal ambaye alimlaki mamake kwa uwanja wa ndege Afrika Kusini, alitangaza kugonjeka kwa mamake kwenye mtendao wa Instagram.

download latest music    
Dadake Zari- Ashutalal na mamake

“Our mother was admitted in hospital last night due to heart failure problems need your prayers.??????????. INSHA’ALLAH she will be fine,” Ashutalal aliandika.

Mamake Zari sasa ametolewa hospitalini baada ya kupata nafuu, Ashutalal ata hivyo anasema kuwa mamake bado hana nguvu.

“Thank you all for your prayers . Mom is out of hospital still weak but recovering well. Allah is good ????????????????Ameen” Ashutalal aliandika.

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere