Mamia Wamtolea Maneno Casto Kuhusu Kutokujali Hali ya Mtoto Wake na kumjali mwanamke.

Ikiwa mtoto aliyezaa na mzazi mwenzie Muna akiwa hoi kitandani anaumwa watu wamekuwa wakijudge mtangazaji Casto amekuwa akijisikiaje na drama za mapenzi yake na Tunda zinazoendelea ktika mitandao ya kijamii huku mtoto huyo akiwa hospitali.

Katika kusambaa kwa picha zikimuonyesha mtoto huyo yuko hospitali wakati huku mahojiano mengi ya Casto yakiwa yanahusu kuwa katika mahusiano na tunda na kuchora kwake tatoo, watu wamejikuta wakimtolea povu kwa madai ya kuwa na uchungu na kile anachofanya Casto kuwa sio kizuri kwa sababu aliyepo hospitali ni mtoto wake pia.

download latest music    

pamoja na kwamba wasanii wengi wameonekana kuguswa na maumivu  ya Muna na familia yake lakini Casto inasemekana kutoonesha chochcote kuhusu swala la kuumia wala kuumwa kwa mtoto wake huyo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.