Mandojo Aiomba Serikali Imuhurumie Joti Katika Kubomoa Nyumba Yake

Hivi karibuni imeripotiwa kuwa  nyumba ya msanii Joti inaweza kuobolewa kwa madai kuwa nyumba hiyo imejengwa katika eneo la barabara, Joti ambae kila mtu anaweza kuona ni kwa jinsi gani aliweza kuhangaika na kipai chake kwa muda mrefu na kwa sasa ameanza kupata matunda yake inasikitisha sana kuona kuwa hata kile alichokuwa anakiota kwa muda mrefu  na kuweza kukipata pia kinaweza kuondoka moja kwa moja.

Akiongea katika mahojiano ya Clouds tv leo asubui katika kipidi cha 360, Mandojo ambae pia alishapata uchungu wa kubomolewa kwa nyumba yake, anasema kuwa anafikiria jinsi gani Joti kwa sasa anaweza kuwa katika wakati mguu kwa sababu ya ambayo hilo kwa sababu hata yeye alishawahi kupata maumivu ya kubomolewa nyumba na kitu kibaya zaidi ni kwamba anashindwa kusema chochote kwa sababu kama yeye alikuwa na nyumba ya kawaida aliweza kuumia hivyo inakuwaje kwa  mwenzake Joti.

download latest music    

Akiongea kwa uchungu , Mandojo anaiomba serikali kuangalia kwa undani zaidi swala hilo na kisha kumfikiria pia Joti na harakatizake za muda mrefu na kuona jinsi gani wanaweza kumsaidia katika hilo.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.