Maneno ya Diamond na Rayvanny Baada ya Kutoka Kifungoni

Wasanii nguli Tanzania Diamond na rayvanny wamefunguka hisia zao baada ya basata kuwaachilia huru na kuwaruhusu kufanya shughuliz ao kama zamani .Wasanii hawa walifungiwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu na kutunga nyimbo zisizokuwa na maadili katika jamii.

Ukiachana na kushukuru kuachiwa huru kufanya kazi lakini pia dimaond ameonglea kuhusu wasafi festival ambayo ilifungiwa pia kutokana na makosa yao.

download latest music    

Wakiongea katika interview Diamond anasema “siwezi kusma kitu kuhusu wasafi festival kwa sasa kama itakuja nyingine kwa mwaka 2019 au tutaebdeleza ile ile lazima nikae na timu kwanza wao waseme kama itafanyika au bado lakini kwa upande wangu mimi nimewamisi sana watu wangu wa dar es salaam na nina mpnago wa kuwafanyia kitu kikubwa kwa sababu nilikuwa nimewapania sana wasafi festiva l Dar.”

Nae rayvaany anasema kuwa swala kubwa anawashukuru sana BASATA  na hakuwahi kuface changamoto ya kufungiwa kufanya kazi kwa sababu muziki ndio yalikuwa maisha yake kila siku hivyo kuachiwa huru limekuwa jambo kubwa na la furaha sana kwake.

kwakweli unapopta ahabari nzuri ni lazima ufurahi sana, nimefurahi sana nilipopata hizo taarifa  kwa sababu nilikuwa katika situation ya sintofahamu kwa sababu hivi vitu ndo tunaviface kwa mara ya kwanza.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.