Mange Alipua Bomu , ni Kati ya Wema na Dogo Janja.

Mwanaharakati mashughuli nchini , Mange kimambi ameamua kutoa ataliyokuwa moyoni kwake kwa muda mrefu baada ya kuonekana kuna ukweli kuhusu mahusiano ya mwanadada Wema sepetu na msanii Dogo janja ambae ni mume wa Irene uwoya.

Mange ambae aliamua kuweka sms za majibizano kati yake na Dogo janja akiataka amfivhie siri ya kuwa aliwahi kutembea na wema aliamua kuvujisha picha hizo na kuandika kuwa alikuwa akiujua ukweli huo kwa siku nyingi lakini hakutaka kusema kwa sababu Dogo janja alimuomba asiseme chochote.

download latest music    

Mange anasema kuwa sababu kubwa ya yeye kutaka kuongea habari hizo ni baada ya wema kumfuata DM  na kuanza kumtukana kitu kilichomkwaza na kuamua kuwekwa ukweli huo hadharani.

Mange aliandika ” Dogo janja nakupendaga  sana na ishu hii ningeenda nayo kaburini, kama nilivykupromiss DM lakini huyo uliefanya nae  kanichamba bila kosa alafu hiyo ndio dawa nilionayo kwa sasa…..basi iko story hivi nyumbu alikuwa nyumbani kwa hellen walivuta mibangi yao, bangi zilipomkolea akamkuta chalii wa Arusha nae ana stress za mkewe basi wakaenda room  akafiligiswa vilivyo na Dogo janja.

Dogo janja ambae kwa sasa kila mtu amekuwa akimuonea huruma kutokana na kuwa mahusiano na mke wake hayapo , ameanza kuonekana ndie mwenye makosa katika mitandao kutokana na tukio hilo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.