Mange Kimambi Awatolea Povu Wanaomsifia Mke wa AY.

Mwanaharakati maarufu mtanzania anaekaa  nje ya nchi Mange Kimambi amewatolea povu watanzania wanaokaa kumsifia mke wa msanii AY aliemuoa hivi juzi na kusema kuwa mwanadada huyo sio mnyarwanda kama watu wengi wanavyokaa kutangaza bali ni mtanzania hivyo watu wanatakiwa kumsifia wakijua kabisa kuwa ni mtanzania na sio mtu wa Rwanda kama wengi wanavyodhani.

Mange Kimambi anasema kuwa amekuwa akikerwa na watu wanavyokaa na kusema kuwa watu wengi katika mitandao wamekuwa wakiponda wasichana wa kitanzania na kusema kuwa wanawake wa kitanzaia hawataolewa bali watu maarufu kama ay wanakimbilia nchi za jirani.

download latest music    

Akiandika katika ukurasa wake wa instagram, Mange Kimambi anasema kuwa mwanadada huyo aa asili ya kitanzanai kwa sababu babu ba baba yake ni watanzania bali mama yake ndio mtu wa Rwanda hivyo mwanadada huyo ni mtanzania.

Akiendelea kuelezea Mange Kimambi anasema kuwa kama mwanadada huyo ni mnyarwanda kama wengi wanavyodai basi hata watoto wa Diamond ni waganda kwa sababu wanalelewa na mama nchini mwake.

Hongera sana AY, jamani watanzania tujifunze kupenda vya kwetu.hivi kwanini mmengangania kutoa credit kwa rwanda.

Binti anaitwa Rehema Sudi Suleimani,babake ni mtanzania 100% tena anaishi Mwanza huko.Babu yake mzaa baba ni wale watanzania wenye asili ya Omani, na bibi yake ni mtanzania kabila la Wanyambo mtu wa Kagera so mkwe wa AY ni mchanganyiko wa  mwarabu wa Omani na Mnyambo yaani baba  mkwe ni shombe flani hivi.Ndo maana binti rangi ni mashallah.Mama wa huyo binti ndio mnyarwanda, mamake na babake walipoachana ndipo mamake akaondoka na watoto kwenda nao Rwanda sasa hapo mtoto anakuwaje mnyarwanda na sio mtanzania,jamani huyo wetu hata hiyo rangi tumempa sisi.Ila wanywarwanda wanabeba credit …embu waende huko bwana ..nyambaf  wakiendelea kumclaim tutampigania kama mlima kilimanjo huko Kenya…………..kama mke wa AY ni mnyarwanda basi na watoto wa Diamond ni waganda

Hii inakuja bada ya AY kufunga ndoa wikiend iliyopita huku watu wakimwagia sifa nyingi mke wake anaejulikana kwa jina la Remmy.

                         

                              Remmyrwanda mke wa msanii AY.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.