Mange Kimambi na Wema Sepetu Kumekucha, Waanza Kurushiana Madogo upya

Mwanadada mwanaharakati amnge kimamb na wema sepetu wameibuka uptya katika mtandao wa isntagram baada ya mwanadada wema sepetu kuonekana kukataa kusapoti maandamano ya amani ambayo yalitakiwa kufanyika siku ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Katika ukurasa wake wa instagram Wema aliandika kuwa ameshindwa kuendelea na safari yake ya kwenda marekani kwa sababu ya maandamano ambayo yaliitishwa na mwanadada huyo akitaka kuipinga serikali iliyopo madarakani  na ndipo Mange kimambi alipoamua kumjibu kwa kumuumbua kuwa sio kwamba alishindwa kusafiri kwenda marekanai kwa sababu ya maandamanao bali ni kwa sababu alifukuzwa ubalozini kama mbwa na kwamba alinyimwa visa ya kusafiria.

download latest music    

katika ukurasa wake Wema aliandika”tukajua kuna maandamano bhana watu mpaka tukahairisha safari ..kumbe hakuna kitu..ila utani tuweke pembeni wengi wetu tulishitushwa, but one thing y’ all have to  understand is wa moja wa moja tu aliepewa and kamwe huwezi shindana na power..”

Mange Kimambi nae akamjibu”Mdogo wangu haujakosea, ni kweli kabisa wa moja ni wa moja tu  na aliepewa kapewa tu, #teamhatuzai #teamhatunauzazi., jinakubwa lakini visa ya kwenda marekani ukanimwa, umelia kama mtoto ubalozini eti ume cancel safari , no honey you didint cancel safari walikufukuzwa kama mbwa  koko pale ubalozini..wewe marekani ichungulie kwenye movies..

Baada ya hapo mange kimambi alinedelea kwa kuweka wazi mawasilinano aliyokwa nayo mara ya kwanza kipindi yupo karibu na wema sepeyu ambapo wema sepetu alikuwa akimwambia kuwa amelazimishwa kurudi CCM kutokana na kwamba waliokuwa wakimslazimisha walimtishia kubomoa nyumba ya familia ambayo alikuwa akiishi na familia yake.

Ugomvi wa Mange na wema umekwwua wa muda mrefu sana huku chanzo cha siri bado hakijafahamika , wema hamekuwa akichafuliwa sana na mange katika kazi zao.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.