Marufuku Kupiga Muziki Mahospitalini na Vituo Vya Afya.

Naibu waziri wa afya,maendeleo ya jamii jinsia na watoto amepiga marufuku mahospitalini na vituo vyote vya afya kupiga na kuonyesha muzikikatika maeneo hayo badala yake waweke video na matangazo yanayohusu afya kwa watu wote waliopo maeneo hayo wanaosubiri huduma.

Waziri huyo ameyasema hayo alipotembelea kituo kimoja cha afya huko muleba ambapo alipokuwa akitoa ushauri juu ya jinsi ya kutoa huduma za afya katika kituo hicho.” ni marufuku kwa hospitali zote kuonyesha miziki  katika maeneo yote ya utoaji wa huduma za afya.”

download latest music    

Pamoja na hayo ameongea mambo mengi yanayohusu afya lakini anasisitiza kuwa utoaji wa taarifa za afya hasa sehemu husika itasaidia kuleta elimu ya afya maeneo hayo , hivyo kuwaonyesha wananchi maswala ya afya katika vyombo vya habari hasa wanapokuwa maeneo husika ni nzuri zaid.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.