Masanja Amkingia Kifua Diamond platinumz, Asema Kuvaa Kikuku ni Sawa.

Mchungaji maarufu nchini masanja mkndamiza amefunguka na kumkingia diamond kifua huku akisema kuwa kwa mtu kuvaa kikuu ni kawaida tu kamawatu wengine wanapoamua kuvaa cheni hizo mikononi au shingoni au sehemu yoyote.

Masanja anasema kuwa watu wamekuwa wanashindwa kutofautisha kati ya vitu hivi viwili kati ya dhambi na swala la maadili, kuna utofauti mkubwa kati ya dhambi na kile wasichokipenda watu kifanyike hivyo kwake kama mchungaji kuvaa kikuu sio dhambi.

download latest music    

kama mchungaji kuvaa kikuu sio dhambi ,lakini unaambiwa kuwa katika maadili ni dhambi, na je nikawauliza kwani maadili ni nini.kwaio shida ipo katika maadili na hapo ndipo tunasema kuwa watu wanadhani kuwa  ni vile vitu wasivyoviupenda wao.vitu visivyo na maadili mazuri wanadhani kuwa ni dhambi.kuna tofaut sana juuya hivyo vitu viwili.narudia tena kuvaa kikuu sio dhambi kabisa.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.