Masanja Amtia Moyo Muna Kutokana na Masaibu Yanayomkuta.

Aliyewahi kuwa msnaii wa vichekesho nchini Masanja Mkandamizaji amefunguka na kutoa hisia zake kuhusu yanayoendelea katika mitandao ya kijjamii kati ya Muna na mama yake mzazi ambae wamekuwa wakizozana kila kukicha lakini kwa sasa swala kubwa ikiwa ni hili la muna kutelekeza mtoto.

Masanja anamwambia muna kuwa kuna wakati Mungu anaweza kumtumia shetani kufanya yale anayotaka kuyafanya lakini kupitia watu wake wa karibu kabisa kama inavyotokea kwa muna na mama yake kwa sasa.

download latest music    

Hata hivyo masanja anmwambia Muna kuwa pamoja na kwamba hata yeye hajui ukweli wa mtoto huyo ambae anaambiwa kuwa amemtelekeza lakini anamuomba kuwa na maamuzi ya busara kuamua mambo hasa ukizingatia kuwa anaejaribu kuzozana nae ni mama yake mzazi.

Masanja bado anampa Muna maneno ya kidini na kumwambia kuwa hakuna uokovu usiokuwa na majaribu na ndio maana mungu ana makusudi yake kumtumi kuyavumbua yanayotoka katika mitandao kwa sasa akiwa tayari ameshatangaza kuokoka na wala sio kipindi hicho cha nyuma.

Hata hivyo masanja pia amewatolea povu baada ya watu wanaokaa na kuwahukumu watu ambao wameokoka kwa kuwaangalia muonekano wao.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.