Mashabiki Wamjia Juu Linah ku-edit picha za Mtoto

Mwanadada linah sanga amejikuta akiingia katika wakati mgumu baada ya mashabiki kumvamia katika mitadnao ya kijamii baada ya kuonekana kuwa amekuwa akitumia application kwa ajili ya kubadilisha muonekano wa mtoto wake na kuwa tofauti na vile alivyo.

mashabiki wamemjia juu msanii huyo na kumwambia kuwa hata kama mtoto wake angekuwa na muonekano gani kwa sababu huyo ni mtoto wake tu hivyo alitakiwa kumkubali na kumependa na sio kumbadilisha  ili aonekane kuwa wa tofauti.

download latest music    

Hayo yote yamekuja baada ya mtoto huyo kuonekana na rangi tofauti na ile aliyonayo kawaida.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.