Mataluma Ajitokeza Kumuoa Gigy Money

Msanii aliyewahi kutamba sana na ngoma zake nyingi kama kariakoo na mama mubaya amefunguka na kusema kuwa ni bora yeye ajitokeze na kumuoa Gigy Money kwa sababu anaamini kuwa anamfaa.

download latest music    

Mataluma anasema kuwa anaamini kuwa Gigy Money anamapenzi ya dhati lakini hajapata mtu wa kumtuliza na kumfanya ajue thamani ya mapenzi na pia hajui kama Gigy Money akisikia ombi lake kama anaweza kukubali.

Yule gigy money yule mtoto yule kama anatulia mimi namchukua kabisa, gigy money mimi nataka kumuoa maaba sijasikia hata harusi yake , ninaamini kuwa nikimpata gigy money mimi nitatulia kwa sababu sijaanza jana au juzi sema tu kuna watu wanakuwa wamewahi kumrukia.Gigy money wale hata hawakupendi ninaekupenda ni mimi hapa na ndio mume wako , sijui sasa kama atakubali au ndo najisemesha tu hapa , ukwlei ndio huo gigy money U love you so much.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.