Mbosso Aomba Radhi Menejementi na Mashabiki

Msanii wa muziki wa kizazi kipya anaekuja kwa kasi sasa katika game kutoka label ya WCB, Mbosso amefunguka na kuwaomba radhi lakini pia kukubali kosa alilofanya la kuweka  video chafu katika mtandao huku dhumuni lake kubwa akijua kuwa anaonyesha mashabiki zake show ilivyokuwa , kumbe alikuwa anakosea.

Akielezea kwa undani Mbosso anasema kuwa alijua kuwa ni swala la kawaida na hakufikiria kama lilikuwa kosa na hata uongozi wake ulimsema sama alipopost kitu icho katika mtandao.

download latest music    

kikawaida unapofanya kitu cha kuipiga menejementi lazika wataku-mind tu, lakini wakati mimi napost ile video niliona ni kawaida tu  kwamba tumesherehesha tumeua shoo lakini kumbe sio na waliniambia kabisa kuwa mdogo wangu unazinguakila bosi wangu alinipigia simu kwa wakati tofauti na kuniambia swala hilo kama bosi sallam, jana aliniambia kabisa kwamba ilo ni kosa lakini nenda BASATA kaongee nao lakini usijitie tie kama ujafanya kosa.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.