Mchango wa Moze Kwangu ni Zaidi ya Pesa-Aunty Ezekiel

Siku ya May 1 , msanii wa bongo movie Aunty Ezekiel  alikuwa na press conference kwa ajili ya kuitangaza filamu yake mpya inayoitwa mama ambayo amemshirikisha mtoto wake wa kike cookie.akiongea na waandishi wa habari, mama cookie anasema kuwa hakuamua kumshiriksha mume wake moze iyobo kwa sababu anaamini kabisa kila mtu amezaliwa na kipaji chake hivyo  anajua kuwa kuigza sio kazi ya moze.

aAunty anasema kuwa aligundua kuwa mtoto wake ana kipaji lakini yeye kuwa na mahusiano na moze haimaanishai kuwa basi amlazimishe moze kufanya movie wakati anajua kuwa moze hawezi kuigiza bali anaweza kucheza na ndio ilivyo hata kwake kuwa hawezi kucheza kwaio, kuna baadhi ya vitu kati ya ke na moze vitabai kuwa kama vilivyo.

download latest music    

Mimi na Moze tuna mipaka, tumekuwa tukiihsi bila kuingiliana katika kazi,mimi siingiliane nae katika kazi zake, na yeye pia haingilii kwenye za kwangu hapana.kwaio nisingependa kulazimisha kwa sababu eti ni mama aliyezaa nae, kwaio sijamshirikisha kwa sababu kipaji chake ni ch kucheza na sio kuigiza.Moze kwang ana mchango mkubwa sana , mchango wake ni mkubwa sana zaidi hata ya pesa kwa sababu ninapokuwa  nikipata ushauri wake na nikaufanyia kazi ndio unaokuwa unaniletea pesa.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.