Mcheza Mpira wa Swansea Akiri Kuipenda Chura ya Snura

Mchezaji mpira wa club ya Swansea amaefunguka na kusema kuwa anavutiwa na kuupenda sana wimbo wa snura wa chura  na kusema kuwa unavutiwa kuusikiliza lakini pia anawataja baadhi ya wasanii ambao wanafanya vizuri katika movies za bongo.

Mchezaji mpira huyo anaejulikana kwa jina la Bony, akiongeana waandishi wa habari akiwa nchini jijini dar anasema kuwa  wimbo huo ni mzuri kuuangalia na pia ni mzuri kuusikiliza  na video yake inavutia sana kwa wanaume ambao wanaangalia jinsi wanawake wanavyocheza.

download latest music    

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.