Mdau Atoa Ushauri Kwa Alikiba Kuhusu Bifu Lake na Diamond

Mdau mmoja wa muziki ambuandika barua ya wazi Alikba na kumwambia kuwa hasiangaike na swala la kupatana na Diamond kw sababu Diamond ni mnafika na kama ameshindwa kupatana na watu katika familia yake  hasa baba yake anawezaje kutaka kupatana na yeye.Mdau huyo ameandika

Alikiba naomba usimamaie msimamo wako  usikbali kuyumbishwa na  na mtu mnafiki kama diamond  ambae amekuwa akijiigiza kuwa  anataka kupatana na wewe wakati anakupiga vijembe vya chinichini   alafu anasema anataka kuwana wewe kitu kimoja.

mwambie kwanza akapatane na baba yake mzazi kwanza aliyesema anamchukia sana ndio arudi kwako ,haiwezekani mtu ashindwe kupatana na baba yake mzazi  aliyemtoa kiunoni alafu atake kupatana na wewe mtu baki.

hata kumpa mkono tu siku ile ulijishuhsa sana, ilibidi akampe kwanza mkono baba yake mzazi na ndio aje akupe wewe mkono, huyo ni mnafiki na ninakushauri ukae nae kwa makini.

Ingawa kila mtu anakuwa na maoni yake kuhusu swalahili lakini ilionekana kuwa imefikia pazuri wasanii hawa wawili kuweza kukutana na hata kupeana mikono na kusalimiana , iekuwa ikisemekana kuwa bifu la wasanii hawa limekuwa likichochewa na mashabiki na inawezekana ikawa ni hivyo.

download latest music    

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.