Meninah Awasema Mashabiki Wanaomsema Vibaya Mitandaoni.

Mwanadada alifanya vizuri katika tasnia ya muziki kwa miaka kadhaa iliyopita Meninah amefunguka na kmwaga povu zito kwa baadhi ya page za udaku na mashabiki wanaokaa na kumsema vibaya kuhusu maisha yake huku wengne wakisema kuwa amefulia na ndio maana hasikiki tena.

Meninaha ananekana kukwaza na baadhi ya watru ambao wamekuwa wakimuandama na maisha yake huku wengenwakijaribu kupita ugumu wa maisha yake na jinsi anavyoonekana katika mitandao huku wakisema kuwa kwa sasa amekonda hivyo amekuwa  na shida sana mpaka za kukosa chakula.

download latest music    

Meninah anasema kuwa watu wamekuwa wakimuandama kuwa kwa sasa amepungua sana na kwamba kuna ugonjwa umekuwa ukimsumbua na dnia maaana mwili wake umepungua, hata hivyo anawatolea povu na kuwaambia kuwa wamuache na amechoka kufatiliwa na wat katika itandao wanaojiita mashabiki wake.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.