Mh Kangi Lugola Akiri Kumkubali Diamond Platinumz.

Mh waziri wa mambo  ya ndani ya nchi mh Kangi Lugola ameonyesha kumkubali msanii diamond Platinumz kwa kazi kubwa na nzuri anayokuwa akiifanya ya kuusambaza muziki wa Tanzania nje ya nchi kwa kishindo na kwa jitihada kubwa.

Diamond ambae hivi sasa yuko nje ya nchi na  nchini Madagascar alikofanya show yake wikiend hii na kujaza watu kibao katika uwanja aliofanyia show, huku ikisemekana kabisa kuwa katika watu wengi walihudhuria  walikuwa hawajui kiswahili.

download latest music    

katika ukurasa wa diamond , mh kangi aliweka comments na kuandika,” Hongera sana you make our tanzania country to feel proud of having you, may god bless you.”

 

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.