Mh shonza Akanusha Tetesi za CCM Kuwatumia wasanii Kwenye Kampeni 2020

Mh naibu waziri wa habari, tamaduni na michezo Mh Juliana Shonza amkanusha tetetsi zinazosambaa kuwa kikao cha wasanii na Mh Polepole kilikuwa na lengo la kuwataka wasanii kujiandaa kwa ajili ya kutumika katika  kampeni kwa mwaka ujao 2020 ikiwa ni desturi kama ilivyokuwa katika uchaguzi wa 2015.

Naibu waziri ameongea hayo jana alipokuwa katika kikao icho kilichofanyika Serena Hotel na wasanii wote huku akisema kuwa na ndio maana hawakubagau wasanii wa kuwaita kwa sababu wanajua kuwa kila msanii ana itikadi zake za kisiasa lakini wao wamefanya hivyo kama serikali wakitaka kuongea na wasanii kwa ujumla.

download latest music    

kikao  hiki sio cha kisiasa na ndio maana tumewaalika wasanii wote,tunajua kuwa kuna wasanii wana vyama vyao vya kisiasa lakini tumewaita waote wasanii na wadau mbalimbali wa sanaa na wala hakuna malengo ya kuwatumia kwa kampeni mwaka 2020 ingawa ccm pia tuna kazi na wasani.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.