Millen Magesse Azidi kuonyesha Furaha yake Baada ya Kuwa Mama

Mwanamitindo na Mlimbwende wa Tanzania Happiness Magesse aliye maarufu kama Millen amezidi kuonyesha firaha yake baada ya kujaaliwa kuwa mama na kujifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume aliyemuita Prince Kairo.

Millen ambaye kwa muda mrefu ameweka wazi kuhusiana na ugonjwa wake unaojulikana kama “Endometriosis” ambao ni ugonjwa wa uzazi wa mwanamke unaosababisha maumivu makali na ugumba. Baada ya kufnikiwa kuwa mjamzito oktoba 2016 na kujifungua July mwaka huu. Huku mtoto wake akiwa amefikisha miezi miwili Millen ameonyesha hisia zake za furaha baada ya kupata mtoto na kuwa mama kwa mara ya kwanza baada ya mimba zake kadhaa alizopata kuharibika hapo nyuma. Kupitia ukurasa wake wa Instagram.

download latest music    

Millen aliandika yafuatayo:

“I just wish having children can be cheaper so every woman can afford what a journey but what a painful journey phew! D’ont ever stop wanting what you desire it will happen just work towards it #PrinceKairoat37weeks #MyMiracleSon My son is now two months”.

About this writer:

Diana

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.